Preview Trailer
Muuza madawa ya kulevya ( Tyrone ) anauawa na mpinzani wake , lakini cha kushangaza kesho yake anaamka akiwa mzima na hakumbuki kama ameuawa . Kwa kushirikiana na baadhi ya watu wake wa karibu wanakuja kugundua kuwa kuna maaraba za siri za serikali kwenye mitaa yao ambazo zinafanya majaribio ya hatari kwa binadamu. Je majaribio hayo ni yapi na kwanini yanafanyika ?
Genre / Type: Crime Movie, Mystery Movie, Sci-Fi MovieA series of eerie events thrusts an unlikely trio (John Boyega, Jamie Foxx and Teyonah Parris) onto the trail of a nefarious government conspiracy in this pulpy mystery caper
Genre / Type: Crime Movie, Mystery Movie, Sci-Fi MovieSame Industry (Hollywood) >> 3 Latest
Same 1st Genre (Crime Movie) >> 4 Latest
Same 2nd Genre (Mystery Movie) >> 3 Latest