Preview Trailer
Baada ya kunusurika kifo kwenye filamu ya kwanza [ Extraction 2020 ] , Mwanajeshi hatari anayefanya kazi ya kulipwa kwa mkataba fulani [ Mercenary ] anapewa kazi nyingine hatari na nzito kuliko ile ya mwanzo . Kazi hiyo ni kwenda kuikomboa familia ya Kihalifu kutoka kwenye gereza walilokuwa wanashikiliwa . Je Tyler Rake atafanikiwa kuikomboa familia hiyo na kutoka salama ?
Genre / Type: Action Movie, Thriller Movie, Adventure MovieAfter being presumed dead 9 months ago,[a] Tyler Rake is assigned back by the black-ops mercenary to rescue a ruthless Georgian gangster-s family from the prison where they are being held.
Genre / Type: Action Movie, Thriller Movie, Adventure MovieCommon Word(s) >> 3 Results
Same Industry (Hollywood) >> 3 Latest
Same 1st Genre (Action Movie) >> 4 Latest